Monday, 10 August 2015

UTUKUFU



1)     Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Na amani duniani kwa watu wa mapenzi mema 
Tunakushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu
Tunakusifu tunakuheshimu
Tunakuabudu tunakutukuza
2)     Ee Mungu Mfalme wa mbingu we Baba mwenyezi
Ewe Bwana Yesu Kristu mwana wa pekee
3)     Ee Bwana we Mungu ni mwana kondoo wa Mungu
Mwana wake Baba mwenye kuondoa dhambia za watu
4)     Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia Mungu
Utuhurumie ombi letu upokee ee Mungu
5)     Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba mwenyezi
Utuhurumie ndiwe peke yako mtakatifu
6)     Peke yako ni Bwana wa pekee mkuu Yesu Kristu
Pamoja na Roho katika utukufu wa Mungu Baba

No comments:

Post a Comment