Tuesday, 11 August 2015

NISEME NINI BASI

NISEME NINI BASI
Niseme nini basi juu ya mama
Yetu Maria (Mama Bikira Maria)
Mama mpendelevu mama mwenye neema *2
  1. Wakati wa majaribu mwombezi wetu ni Maria (Mama yetu)
    Wakati wa mashaka kimbilio letu ni Mama(Maria)
  2. Mama uliyeumbwa pasipo dhambi ya asili()
    Ukamzaa mwanao mkombozi wa walimwengu (Maria)
  3. Moyo wako wa heri moyo safi moyo mweupe ()
    Nijalie neema nishinde majaribu yote (Maria)
  4. Mama wa Mkombozi mnara wetu wa Mbinguni ()
    Mwangaza wetu sisi tunaosafiri gizani (Maria)
      5. Shika mkono wangu unionyeshe njia ya kweli ()
         Nifike kwa Mwanao anakoketi uwinguni (Maria)

No comments:

Post a Comment