BABA
TUNALETA VIPAJI
Sop: Baba tunaleta vipaji twakuomba sana pokea
All: Baba tunaleta twakuomba sana pokea
Sop: Twaja kushukuru kwa yote unayotujalia wanao
All: Baba tunaleta twakuomba sana pokea
sop: Baba tunasema...All: Asantex2
Alto: Kutupa uzima.....All: Asantex2
Tenor: Kwa kutukomboa.....All: Asantex2
Kutuweka huru...All: Asantex2
- Mkate na divai twaleta twakuomba sana pokea
Ndio kazi yetu wanao twakuomba sana pokea
- Mazao ya mashamba twaleta twakuomba sana pokea
Hata ni kidogo twaleta twakuomba sana pokea
- Nazo fedha zetu twaleta twakuomba sana pokea
Utupe baraka twaleta twakuomba sana pokea
- Pia nyoyo zetu twaleta twakuomba sana pokea
Japo ni dhaifu twaleta twakuomba sana pokea
No comments:
Post a Comment