TUTAPATA
BARAKA
Tutapata
baraka kwa Mungu, tukitoa sadaka safi, tukutoa sadaka safi, tutabarikiwa X2
- Bwana mimi ninapoitoa sadaka yangu hii (Shukrani ninayo moyoni sadaka yangu natoa)
- Ninakuja mimi na vipaji, ninaleta mbele (moyoni mimi navitoa Bwana na uvitakase)
- Matunda ninayo ya mashamba, fedha za mifukoni (vyote ninavyo navitoa navirudisha kwa Bwana)
- Kama mimi niko na dosari Bwana naomba fadhili (sadaka yangu ipendeze nanyenyekea mbele yako)
No comments:
Post a Comment