Monday, 17 August 2015

SHETANI ASHINDWE

SHETANI ASHINDWE
1. Shetani ashindwe ashindwe
Shetani ashindwe ashindwe kwa jina la yesu (kweli)

Yeye na hila zake
Pia sheria zake
Hata na nguvu zake tunasema ashindwe (sana) X2

2. Tunamkataa kabisa
Tunamkataa kabisa kwa jina la yesu (kweli)

3. Tumekombolewa hakika
Tumekombolewa hakika kwa damu ya yesu (kweli)

4. Ashindwe kabisa kabisa
Ashindwe kabisa ashindwe kwa jina la yesu (kweli)

5. Ushindi ni wetu ushindi
Ushindi ni wetu ushindi kwa jina la yesu (kweli)

No comments:

Post a Comment