Monday, 10 August 2015

NJOONI WATU WOTE


NJOONI WATU WOTE
11.   Njooni watu wote (leo)
Njooni tumwabudu (Mungu)
Tumshukuru
Kwa sababu ametutendea mema (Mungu wetu)
Kwa sababu ametujalia mema (basi leo)
Tufurahi na kushangilia sana
22.   Wakubwa kwa wadogo(nyote)
Wake kwa waume (njooni)
33.   Tuimbe kwa shangwe (leo)
Tucheze na ngoma (pia)
44.   Ametulinda vyema (pia)
Ametubariki  (sote)
55.     Ametujalia (vyote)
Tutoe kwa moyo (mwema)

No comments:

Post a Comment