MTAKATIFU
Mtakatifu Bwana aa aa
Mtakatifu Bwana, Bwana Mungu wa majeshi X2
Mbingu na dunia aa aa
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wake X2
Hosanna hosanna aa aa
Hosanna hosanna, hosanna juu mbinguni x2
Mbarikiwa yeye ee ee
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina lake x2
Hosanna hosanna x2
No comments:
Post a Comment