CENTENARY
- [s/a:] { Utuhurumie ee Bwana ee
[w:] Ee Bwana (tuhurumie) ee Bwana
[s/a:] Utuhurumie ee Bwana ee
[b:] eeh eeh - [w:] ee Bwana
[t:] eee eeh - [w:] ee Bwana } *2 - [s:] Ee Kristu (tuhurumie*2) utuhurumie
[a:] Ee Kristu tuhurumie, tuhurumie
Ee Kristu tuhurumie, ee Kristu ee Kristu
Ee Kristu tuhurumie
[b:] Ee Kristu, ee Kristu *2
Ee Kristu utuhurumie *2
[t:] Ee Kristu tuhurumie tuhurumie
Eeh eeh, Ee Kristu tuhurumie - Utuhurumie ee Bwana ee
GLORIA:
- Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni, Na amani iwe
kwa watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Tunakusifu tunakusifu, tunakuheshimu
Tunakuabudu, tunakutukuza
Tunakuabudu, tunakutukuza
- Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako
Mkuu ee Bwana ni Mungu ndiwe mfalme wa mbinguni. - Ee Baba mwenyezi Bwana Yesu Kristu, e mwana wa pekee
Ee Mungu Mwanakondoo wa Mungu mwana wake Baba - Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie
Tuhurumie maombi yetu Bwana uyapokee - Mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie
Kwa kuwa ndiwe peke yako ni mtakatifu - Peke yako Bwana peke yako mkuu ewe Yesu Kristu
Pamoja naye Roho Mtakatifu milele yote.
No comments:
Post a Comment