Monday, 10 August 2015

MIMI NINAKUJA



Mimi Ninakuja

[b:] Mimi ninakuja,
[w:] Mimi ninakuja na zawadi zangu, Bwana pokea

  1. Mkate na divai - Bwana pokea
    Mazao ya mashamba -
    Na pia nafsi zetu -
    Vyote tulivyo navyo -
  2. Furaha na uchungu -
    Na kiini cha ngano -
    Na tunda la Mzabibu -
    Fedha za mifukoni -
  3. Nafaka upokee -
    Twakutolea vyote -
    Kwako Baba Muumba -
    Kwa njia ya Mwokozi -
  4. Katika mfariji -
    Ipate kugeuzwa -
    Iweze kutufaa -
    Pokea twakuomba -
  5. Ingawa ni kidogo -
    Twakutolea kwa moyo -
    Baba usikatae -
    Vipaji vya wanao –

No comments:

Post a Comment