KARAMUNI KWA MARINGO
Yumo humu, Mwokozi Yesu,
Kwenye mzabibu na ngano tamu
Ni mpole ni mwema ni mzima
Kwenye mzabibu na ngano tamu
Ni mpole ni mwema ni mzima
{Waumini
(haya), simameni,
polepole, kwa maringo,
Jongeeni karamuni (mpate)
mpate kumwonja Mwokozi Yesu } *2
polepole, kwa maringo,
Jongeeni karamuni (mpate)
mpate kumwonja Mwokozi Yesu } *2
Ekaristi ni jina lake, pamoja nasi, Mungu mwenyewe
Ndani yetu nasi ndani yake
Ndani yetu nasi ndani yake
Alitoa, jioni ile, kwa kumbukumbu, yake milele,
Tule tunywe wote tuokoke
Tule tunywe wote tuokoke
Tugeuze, maisha yetu, yakafanane, na meza hii
Huruma, upendo msamaha
Huruma, upendo msamaha
No comments:
Post a Comment