Monday, 17 August 2015

NITAKULIPA NINI

NITAKULIPA NINI
1. Nitakulipa nini ee Mungu kwa mema utendayo
Kila nikishikapo mimi naona ni kidogox2

Nikulipe nini (Tenor: Bwana) nikulipe nini
Nitakulipa nini (Tenor Bwana) nikulipe nini (Alto: ewe Bwana)x2
Bwana

2. Pumzi nipumuayo ee Mungu siwezi ilipia
Pesa nilizo nazo si kitu mbele ya wema wakox2

3. Vyeti nilivyo navyo ee Mungu ni kwa hekima yako,
kazi nimeipata hakika mi nikivitumiax2

4. Sauti umenipa ee Mungu mimi nikuimbie,

tena kanipa uwezo wa kuwaongoza watu waimbe x2

No comments:

Post a Comment