MWILI WA BWANA YESU
- Mwili wa Bwana Yesu, chakula cha Mbingu
Ni chakula cha roho, chenye uzima
Hima uwe nasi ee Bwana Yesu
Ukatushibishe chakula bora
Ni chakula cha roho, chenye uzima *2 - Yesu alituambia, Yeye ni chakula
Ni chakula cha roho, chenye uzima
Sote twaamini, ni mwili wake
Pia twaamini ni damu yake
Ni chakula cha roho, chenye uzima *2 - Yesu alituambia, kuwa tumpokee
Ni chakula cha roho, chenye uzima
Ee Bwana mkombozi tunakuomba
Kwa chakula hiki tuinamie
Ni chakula cha roho, chenye uzima *2 - Hii ndiyo karamu, aliyotuachia
Ni chakula cha roho, chenye uzima
Alaye mwili na kunywa damu
Ana uzima wa siku zote
Ni chakula cha roho, chenye uzima *2
No comments:
Post a Comment