Monday, 10 August 2015

TWENDE WOTE



TWENDE WOTE
[b] Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana
( twendeni)
[w] Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana *2
[t] Twende- [w] Twende tukatoe *2
Twende wote tukatoe sadaka kwa Bwana
  1. Tukatoe mkate, kiini cha ngano,
    Twende tukatoe sadaka kwa Bwana
  2. Tukatoe divai tunda la mzabibu,
  3. Tukatoe mazao ya mashamba yetu,
  4. Nayo maisha yetu anayatakasa,
Navyo tulivyo navyo ndiye atupaye

No comments:

Post a Comment