Monday, 10 August 2015

MTAKATIFU CENTINARY



Mtakatifu Mtakatifu
mtakatifu Bwana Mungu
Mtakatifu Mtakatifu
mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi *2

Mbingu na dunia zimejaa utukufu
Mbingu na dunia, mbingu na dunia
Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
Zimejaa utukufu wako
Hosanna juu, hosanna juu
Hosanna juu, hosanna juu mbinguni*2
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina
Mbarikiwa yeye, mbarikiwa yeye
Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana
Ajaye kwa jina la Bwana

No comments:

Post a Comment